technology

business

WEWE JE.............UMEPATA MWALIKO WAKO.....???

Sijui niseme nini kiukweli watu wangu wa
nguvu lakini hii yote ni kwaajili yenu 
watu wangu wa kweli............!!
29.08.2013 Unajua siku hii inaenda kutokea nini.......???
Kwa upeo wako wa haraka haraka ebu niambie labda unategemea nini....??
Ni swali nakuachia wewe mtu wangu wa kweli,Tiririka uniambie kabla
sijakujuza zaidi au vipi bhanaaaaa.....?????

Usikose kupitia kwenye Blogsite yako ya kijanja hapa hapa uwe wa kwanza kujua
undani wa mwaliko huo na Tarehe hiyo.....kitakachoenda kujiri........
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

2 comments :

  1. let me guese..nahis ur new song is raunching..am i right???

    ReplyDelete
  2. hope utakua unatambulisha ur new video...wish u all the best...diamond the one and only..

    ReplyDelete


three columns

grids

health