technology

business

BREAK NEWS:MGAHAWA WA SAMAKI SAMAKI YA MBEZI YATEKETEA KWA MOTO.

Sehemu maarufu ya watu kujidahi jijini Dar Es
Salaam,Maarufu kama Samaki Samaki
imetekeketea kwa moto majira ya mchana siku ya Leo.
Maswahibu hayo yametokea kwenye pande za
mbezi kwenye Tawi la Samaki Samaki
ya Mbezi mchana wa leo uku ukiacha simanzi kwa wapenzi
wa sehemu hiyo wanayotumia kujipumzisha weekend na
hata siku za wikii.
Bado aijajulikana zaidi chanzo cha moto huo
ulioteketeza sehemu hiyo ya watu kupumzika
ingawa inasemekana ni hitilafu ya umeme
ndio imechangia kusababisha moto huo.
Aidha Thisisdiamond ilipojaribu kumtafuta
 mmiliki wa Samaki Samaki
simu yake iliita bila kupokelewa...

Endelea kukaa nasi kukujuza zaidi kutokana na ajali hii ya moto.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health