Waigizaji wanaolipwa zaidi Hollywood wametangazwa na Johnny Depp ndio kinara katika orodha hiyo akiwemo Brad Pitt, Tom Cruise na Will Smith.
Denzel Washington
Tarakimu za muigiza huhesabiwa kwa kuchukuwa faida ya filamu zake tatu za nyuma na kugawanywa kwa mshahara wake, zikiwemo alizoshirikishwa ama alizofanya mwenyewe.
Brad Pitt
Kila dola moja anayoingiza Depp, filamu inaingiza dola 1.80.
Will Smith
Mshindi mkubwa katika kipengele hiko ni Chris Evans, ambaye filamu zake zinaingiza dola 181.80 kwa kila dola 1 anayopokea kwenye mshahara.
Milla Kunis
Kwa upande wa wanawake ni – Milla Kunis, Scarlett Johansson, Gwyneth Paltrow na Emma Stone.
Gwyneth Paltrow
Jennifer Lawrence ni wa nane kwenye orodha , akiwa na filamu yake inayoingiza karibia dola 40 kwa kila dola moja anayolipwa.
Jennifer Lawrence
WAIGIZAJI WANAOLIPWA ZAIDI HOLLYWOOD 1. Johnny Depp: $1.20 per $1 2. Denzel Washington: $6.50 per $1 3. Will Ferrell: $6.80 per $1 4. Liam Neeson: $7.80 per $1 5. Will Smith: $8.60 per $1 6. Christian Bale: $9.20 per $1 7. Channing Tatum: $10.80 per $1 8. Brad Pitt: $12.00 per $1 9. Ben Affleck: $12.30 per $1 10. Tom Cruise: $13.60 per $1
Chris Evans
WANAOINGIZA ZAIDI KWA KILA FILAMU
Chris Evans $181.80 per $1
Mila Kunis $87.30 per $1
Scarlett Johansson $84.90 per $1
Gwyneth Paltrow $82.90 per $1
Emma Stone $54.00 per $1
Chris Hemsworth $42.10 per $1
Vin Diesel $40.30 per $1
Jennifer Lawrence $39.10 per $1
Mark Wahlberg $37.90 per $1
Dwayne Johnson $28.10 per $1
Tom Cruise
The word UTANIPENDA means WOULD YOU LOVE ME.... This is an inspirational song talks about the real life of Diamond Platnumz it's like a Question he ask to his girlfriend... what if he loose everything that he has right now, the fame and all the things that he own would she still love him??.... The Song was written and Sang by Diamond Platnumz and produced and get Mastered by Tuddy Tomas all from Tanzania...The Video was shot in Dar es salaam Tanzania and Johannesburg South Africa under Godfather Production. Instagram : @paulchazzy whatsapp: 0766640505