Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base. Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki). Chege anaongezeka kwenye orodha ya wasanii wa Bongo waliofanya collabo na wasanii wa Nigeria kama Diamond, Vanessa, na Shetta.
Verse1
Oh ghafla visenti sina nimerudi tandale,
nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madale,
redio nyimbo wamezima tv ndio hatare,
umeneja umebaki jina,hanitaki ata tale,
oh shabiki zangu walionisifu kwa maneno matamu,
leo maadui zangu, ni mitusi tu kwa instagramu,
eeh kimwana si dadangu, ati naye hanifahamu,
ata harmonize nikimpigia,ananifokeakama salaamu,
na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,
utasikia tafarani ati mondi kwa zari amemwagwa,
na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga,
kama naionamichambo ya madem wa zamani,niliowapitiaga
verse2
ooh ninayosema yana maana ,
sababu hakuna anayejua kesho,
anayepanga ni rabana,
ila ameficha ni confidential,
ukisali omba sana,
mumeonisije kuwa kichekesho,
maana rafiki wa jana ,
ndio adui mkubwa kesho,
(chorus)
La x7
Oh Je utanipendaga,
La la la la la la la
Au nawe utanimwaga,
La la la la la la la
Ati utanipendaga,
Verse3
Ooh bado nawaza sana
zile tuzo mashauzi airport
Je ntapofika tama,
utadiriki ata japo kunipost,
pindi show zimekwama ,
na nikipata sijazi ni mikosi,
oh jahazi limezama,
mola ninusuru baba,
verse 4
kama namwona mwanangu roho yangu,
tiffah dangote ,anakwenda na mamangu,
kwa jakaya kikwete anafukuzwa atoke,
husilie sandra wangu,mboni yangu,
jikaze husichoke,uenda kesho zamu yangu,
nitavuma tena mambo yanyooke,
na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,
utasikia tafarani ati mondi kwa zari amwagwa,
na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga,
Oh ghafla visenti sina nimerudi tandale,( after I become broke am back to Tandale)
nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madale,(am unable to pay insurance, and i have sold my property in madale)
redio nyimbo wamezima tv ndio hatare,( radio and tvs have stopped playing my songs)
umeneja umebaki jina,hanitaki ata tale, (manager Tale is no longer interested in me)
oh shabiki zangu walionisifu kwa maneno matamu,(oh my music fans who praised me)
leo maadui zangu, ni mitusi tu kwa instagramu,(are my enemies ,insulting me in instagram)
eeh kimwana si dadangu, ati naye hanifahamu,(my sister doesn’t recognize me too)
ata harmonize nikimpigia,ananifokeakama salaamu,(when I call Harmonize Hes shouting at me Just like Salaam)
na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,(as you know how newspapers write at home)
utasikia tafarani ati mondi kwa zari amemwagwa,(you will hear zari dumped diamond)
na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga,(but I am weak Ican’t answer them)
kama naionamichambo ya madem wa zamani,niliowapitiaga ()
verse2
ooh ninayosema yana maana ,(there is a meaning in what am saying)
sababu hakuna anayejua kesho,(because no one knows tomorrow)
anayepanga ni rabana,(God plans it all)
ila ameficha ni confidential,(but He has hidden that,its confidential)
ukisali omba sana,(insist in prayers)
mumeo nisije kuwa kichekesho,(your husband not to be an amusement)
maana rafiki wa jana ,(because yesterdays friends)
ndio adui mkubwa kesho,(are tomorrows big enemies)
(chorus)
La x7
Oh Je utanipendaga, (will you love me)
La la la la la la la
Au nawe utanimwaga,(or you will dump me)
La la la la la la la
Ati utanipendaga, (will you love me)
Verse3
Ooh bado nawaza sana(oh am still thinking deeply)
zile tuzo mashauzi airport(all the awards at the airport )
Je ntapofika tama,(when my fame diminishes)
utadiriki ata japo kunipost,(will you still post me)
pindi show zimekwama ,(when band shows are stuck)
na nikipata sijazi ni mikosi,(with bad luck to fill shows)
oh jahazi limezama,(oh the ship is capsizing)
mola ninusuru baba,(God save me father)
verse 4
kama namwona mwanangu roho yangu, (when I see my daughter)
tiffah dangote ,anakwenda na mamangu,(Tiffah dangote going with my mother)
kwa jakaya kikwete anafukuzwa atoke,( to Jakaya Kikwete's place and she is chased away)
husilie sandra wangu, mboni yangu,(don’t cry the apple of eye)
jikaze husichoke,uenda kesho zamu yangu,(be strong tomorrow may be my time)
nitavuma tena mambo yanyooke,(I will be famous again ,things will be okey)
na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,(as you know how newspapers write at home)
utasikia tafarani ati mondi kwa zari amemwagwa,(you will hear zari dumped diamond)
na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga,(but I ma weak can’t answer them)
kama naionamichambo ya madem wa zamani,yaani kede kede ()
la la la la la la la
la la la la la la la
la la la la la la la
la la la la la la la
verse 5
kama namwona mwanangu roho yangu, (when I see my daughter)
Tiffah dangote ,anakwenda na mamangu,(Tiffah dangote going with my mother)
kwa jakaya kikwete anafukuzwa atoke,( to Jakaya Kikwete's place and she is chased away)
husilie sandra wangu, mboni yangu,(don’t cry the apple of eye)
jikaze husichoke,uenda kesho zamu yangu,(be strong tomorrow may be my time)
nitavuma tena mambo yanyooke,(I will be famous again ,things will be okey)
verse 6
ooh ninayosema yana maana ,(there is a meaning in what am saying)
sababu hakuna anayejua kesho,(because no one knows tomorrow)
anayepanga ni rabana,(God plans it all)
ila ameficha ni confidential,(but He has hidden that,its confidential)
ukisali omba sana,(insist in prayers)
mumeo nisije kuwa kichekesho,(your husband not to be an amusement)
maana rafiki wa jana ,(because yesterdays friends)
ndio adui mkubwa kesho,(are tomorrows big enemies)
Instagram @paulchazzy Whatsapp 0766640505
The word UTANIPENDA means WOULD YOU LOVE ME.... This is an inspirational song talks about the real life of Diamond Platnumz it's like a Question he ask to his girlfriend... what if he loose everything that he has right now, the fame and all the things that he own would she still love him??.... The Song was written and Sang by Diamond Platnumz and produced and get Mastered by Tuddy Tomas all from Tanzania...The Video was shot in Dar es salaam Tanzania and Johannesburg South Africa under Godfather Production. Instagram : @paulchazzy whatsapp: 0766640505