Muimbaji na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema tayari kolabo yake na Diamond imekamilika. Ameutaja wimbo huo kuwa unaitwa ‘I Am Praying for You. Bob ameiambia Bongo5 kuwa kazi hiyo imechukua muda mrefu kukamilika kutokana na wawili hao kuwa busy. “Naomba Mungu kazi itoke mwaka huu kwa sababu itakavyozidi kuchelewa itakuwa ni issue nyingine. Kazi imekamilika kwa kiasi chake ndio maana nasema itatoka mwaka huu,” amesema. Bob Junior pia amewataka mashabiki wake kuwa na subira licha ya kuwaahidi mara kadhaa kuachia kazi mpya.
UNGANA NAMI INSTAGRAM @PAULCHAZZY
Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base. Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki). Chege anaongezeka kwenye orodha ya wasanii wa Bongo waliofanya collabo na wasanii wa Nigeria kama Diamond, Vanessa, na Shetta.
Verse1
Oh ghafla visenti sina nimerudi tandale,
nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madale,
redio nyimbo wamezima tv ndio hatare,
umeneja umebaki jina,hanitaki ata tale,
oh shabiki zangu walionisifu kwa maneno matamu,
leo maadui zangu, ni mitusi tu kwa instagramu,
eeh kimwana si dadangu, ati naye hanifahamu,
ata harmonize nikimpigia,ananifokeakama salaamu,
na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,
utasikia tafarani ati mondi kwa zari amemwagwa,
na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga,
kama naionamichambo ya madem wa zamani,niliowapitiaga
verse2
ooh ninayosema yana maana ,
sababu hakuna anayejua kesho,
anayepanga ni rabana,
ila ameficha ni confidential,
ukisali omba sana,
mumeonisije kuwa kichekesho,
maana rafiki wa jana ,
ndio adui mkubwa kesho,
(chorus)
La x7
Oh Je utanipendaga,
La la la la la la la
Au nawe utanimwaga,
La la la la la la la
Ati utanipendaga,
Verse3
Ooh bado nawaza sana
zile tuzo mashauzi airport
Je ntapofika tama,
utadiriki ata japo kunipost,
pindi show zimekwama ,
na nikipata sijazi ni mikosi,
oh jahazi limezama,
mola ninusuru baba,
verse 4
kama namwona mwanangu roho yangu,
tiffah dangote ,anakwenda na mamangu,
kwa jakaya kikwete anafukuzwa atoke,
husilie sandra wangu,mboni yangu,
jikaze husichoke,uenda kesho zamu yangu,
nitavuma tena mambo yanyooke,
na magazeti nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga,
utasikia tafarani ati mondi kwa zari amwagwa,
na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga,