technology

business

NEWS:ZICHEKI PICHA 3 ZA NDEGE ILIYOANGUKA ZIWA MANYARA...

Ukiangalia kwa pembeni yanii ukingoni mwa ndege
 hii inasomeka kama 'TANZANAIR''
Ndege hii imedondoka kanda ya ziwa kwenye ziwa Manyara.
Ndege kampuni ya Air Tanzania imedondoka
tarehe 23.8.2013 majira ya mchana.
Inavyonekana ndege ile ilielemewa na mizigo zaidi ingawa hadi sasa
aijatoka kauli yoyote ya chanzo cha ndege hiyo kuanguka.....

Unaweza zicheki picha hizi kujionea
 hali halisi ya ndege hii...:


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health