technology

business

NEWS:BIG SEAN AACHIA ALBUM YAKE MUDA HUU ''HALL OF FAME''

Big Sean toka kundi la Good Music mchana wa leo kwa
 saa za marekani ameachia mtandaoni


album yake mpya kupitia kipindi cha BET 106&PARK.
Big Sean ameiachia album hiyo yenye nyimbo kumi na tano,Big sean
amesema haya''Naitambulisha hapa kwenu
album hii na imani ni njema kabisa
kwa mashabiki zangu duniani kote,so hii ni kwaajili yenu kabisa..!!

Kupata album hii waeza inunua kwenye Itunes kuanzia mudaa huu...

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health