![]() |
Mchoro huu ni picha ya ''JESUS'' ndio tatto yake mpya... |
![]() |
Huu alichora mnamo mwaka jana mkewe Victoria Posh alipojifungua mtoto wao wa 4 |
![]() |
Msalaba huu alichora kwenye mashindano ya dunia ya kombe la dunia mwaka 2002 nchini Japan na Korea. |
![]() |
Mchoro huu ni wa maandishi ya namba za kirumi ikimanisha namba 7,nambari ambayo alikuwa anitumia alipokuwa anaichezea timu ya Manchester Utd... |
![]() |
Mchoro huu wa mwanamke ukiangalia kwa ukaribu una maandishi yaliyoandikwa kwa kiingereza yasemayo ''Til death do as apart'' pembeni ikiwa imezungushiwa maua na picha ya mke Victoria Beckham. |
![]() |
Mchoro huu ukiangalia vizuri ni jina la mwanae wa 4 Harper... |
![]() |
Mchoro huu chini ya mchoro wa msalaba ni jina la mwanae wa pili kuzaliwa Romeo Cruz Beckham. |
![]() |
Ni tatoo yenye maandishi ya kihindi lakini maana yake ni Jina la mkewe 'VICTORIA' |
![]() |
Huu ndio mchoro wa kwanza kabisa wa Beckham aichora mnamo mwaka 2002 nchini Spain alipokuwa mapumzikoni na mke baada ya kujifungua, ukiangalia vizuri ni Jina la Mwanaye wa kwanza Brooklyn. |
No comments :