technology

business

NEWS:TICKET ZA UZINDUZI WA FOOLISH AGE YA ELIZABETH MICHAEL ZAANZA KUUZWA

Kwa Akilini muda huu ukisikia Foolish Age
Basi lazima utajua nazungumzia nini....
Movie Launching ya Msanii Elizabeth Michael
ndani ya tarehe 30.8.2013 kwenye
ukumbi wa Mlimani City Hall..
Ili kufika na kujiakikishia uhakika wa
kuwemo siku hiyo basi fanya mapema
toka Robby One Fashion (Kinondoni),Nyumbani
 Lounge(kinondon),Big Respect (Kariakoo),
Shear Illusons(mlimani city)
TCC (Chang'ombe) & Leaders Club (Kinondoni)
Kwa Bei ya Tsh 30,000/= tu au waweza nunua
 meza nzma V.I.P kwa 300,000/= tu....
Hii si ya kukosa kabisa kwa mara ya kwanza kutokea nchini Tanzania....

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health