technology

business

MIMI NAONA NI SAAWIA KABISA........AU WEWE UNASEMAJE....???

Kwenye Mapenzi kuna mengi ya kupitia,mapenzi ni
kama maisha ya kila siku,kuna kupata na kukosa
lakini ukijaaliwa uzima unaendelea kupigana hadi
mwisho cha msingi kuto kukata tamaa...


Kwenye mapenzi yakubidi uwe mvumilivu,mwenye
 mapenzi ya kweli na muaminifu ili kulinda
penzi la dhati toka kwa mwenzi wako pindi
unapokuwa kwenye dimbwi la mapenzi....
Ikitokea bahati mbaya siku ukamfumania mpenzi
wako na Kisha ukaweza kumsamehe Basi wewe
ndiye my #Number One........Binafsi kigezo hiko
 naweza tumia mimi binafsi kama Naseeb Abdul
Juma,maswali nakuachia wewe
mtu wangu wa kweli Je wewe ukimfumania mpenzi
wako waweza msamehe na kuendelea
kuwa na mahusiano kati yenu wawili......??
Msamaha utakaokutoka ni kweli ni
wa dhati toka moyoni......?? Mi nimemaliza
nahitaji sikia vigezo vyako kumjua number one wako..
.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

5 comments :

  1. Kwa upande wngu na sameh mkuu coz nampenda

    ReplyDelete
  2. mmmmh! inauma ila nitamsamehe coz ni ngumu kuanza mapenzi upya na mwingine ambae hujmzoea, ila mfano akikufamania wewe ataweza kukusamehe?

    ReplyDelete
  3. Naisubiri no one itakuwa kariiiiiiiiiiii

    ReplyDelete


three columns

grids

health