Unapozama kwenye dimbwi la mahaba na mwenzi wako basi unakuwa umevutiwa na vitu vingi kutoka kwa mwenzi wako.
Ni mengi sana unaweza vutiwa nayo toka kwa mpenzi wako iwe kwa mwanaume au mwanamke, lakini binafsi nasimama kote kote kwa kuwa ninanishi kwenye jamii nayozungukwa na jinsia zote. Nimekuwa nikifunguka na kutoa darasa hapa hapa, Je ni vigezo vipi waweza tumia kumpata Number One wako.....?? Binafsi niliorozesha vigezo swali nkakuachia wewe.....
Unaweza ukazama kwenye mapenzi kwa sababu nyingi lakini kama mwanaume natoa sababu moja unaweza mpenda mwanamke kwa muonekano wake,mavazi yake na mengine kiujumla, Lakini kwa wanawake mi napenda niweke wazi.... Utanashati usikudanganye Sio kila apendezaye anaweza kuwa your #Numberone....... Chukua toka kwangu hii alafu wewe mwenyewe fanyia utafiti kisha utaniambia na pia ni Ushauri wa Bure.......
Kesho 29.08.2013 kuanzia saa 20:00pm hadi 21:00pm #Mynumberone video Launching at Serena Hotel........Umepata mwaliko wako.......??? |
Tunaisubiria kwa hamu sana,uko juuuu chapa kazi kijana achana na watu wa magazeti leo hili kesho lile,umetokelezea kiukweli
ReplyDelete