Huu ulikuwa mkutano wa waandishi wa habari na kampuni ya simu Tigo-Tanzania na wasanii kuhusu Kampeni yake ya Min Kabang.....
Tamasha hilo linalofanyika mkoani Mwanza watatumbuiza wasanii wengi Binafsi na mimi mwenyewe mtoto wa kimanyema sintokosekana pale kati nikiwa na Team yangu nzima ya wasafi kwenda kuakikisha maajabu yote na unyama wote kufanyika saawia... Pembeni yangu nikiwa na wasanii wenzangu tuliokuwepo kwenye mkutano huo jana makaoo makuu ya Tigo..... Show hiyo itakayofanyika ndani ya uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza itakuwa bure kabisa,haina kiingilio ni maalumu kwa wakazi wa mwanza na wateja wa Tigo kiujumla... Wasanii watakao kuwepo siku hiyo ukinitoa mimi binafsi atasimama stejini Nay wa Mitego,Madee,Rich Mavoko,Recho,Makomando,Chege & Temba na wengineo.... Kama mkazi wa Mwanza fika bila kukosa na line yako ya tigo kama aijasajiliwa uje kusajiliwa na kujiunga na ofa kabamb kutoka tigo na n.k
Picha kadhaa tukiwa kwenye mkutano huo kuwajuza wandishi wa habari juu ya uwepo wetu na ujio wetu siku hiyo ya tarehe 30 mwezi wa sita kwa wakazi wa Jiji la Mwanza...!! |
kAZA BOOOOOT KIJANA MWANZA WALIKUONA TU GEITA NAJUA DIAMOND UNAKWENDA KUFANYA KWELI TIGO WENYEWE WATAIONA SHUGHULI YA WASAFI NAMI TAREHE 30 NITAKUWEPO MWANZA KWA AJILI TU DIAMOND CREW ITAKUWEPO PALE BASI SITAKOSA NAPENDA SANA JINSI UNAVYOIMBA PIA SAUTI.HAUNA MPINZANIIIIIIIIIIIIIIII WENYE WIVU KAZI KWAO NI MUNGU AMEKUWEKA JUUUUUU NI LAZIMA UTAENDELEA KUWA JUUUUUUUUUUU
ReplyDelete