Hii ni Dubai mwaka wa 1950 kabisa angalia picha kwa umakini kabisa........ unaweza kusema ni nchini iliyozigirwa na maji na isiyona muonekano kabisa.... lakini kutoka mwaka huo hadi leo hii mwaka 2013 ni hatua kubwa imechukuliwa ya maendeleo nchini Dubai.... Dubai kwa sasa ndio nchi nzuri kuliko zote dunia kwa kila aina ya starehe ukiacha zamani iliyokuwa inaongoza nchini Marekani kutokana na vivutio vingi na mji wake mzuri kabisa Las Vegas,Nevada.......
Na hii ndio Dubai ya mwaka 2013....Tizama mji unavyopendeza,..... Unajua kwanini wameweza hivi...?kutokana na ulipwaji wa kodi na rushwa kwao ni adui namba moja kabisa....wameweza kujimudu kwa ilo na kuwajibishwa kiongozi yoyote atakaekiuka maadili na sheria za nhi hiyo ya kiarabu inayotawaliwa na mfalme....
Dubai kwa usiku inavyoonekana kwenye picha.......
Huu ni mfano wa mti wa Mnazi lakini mti huo umechorwa baharini na kutengenezewa nyumba kwa mfano wa matawi ya mti wa mnazi na kutengeneza kitu cha ajabu kabisa ambacho Dubai pekee yake unaweza ukakuta kitu hiki....
Tembelea This is diamond kwa makala nzima hivi karibuni kuhusu vivutio na maendeleo ya Dubai......Asante...!!!
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Dancer wakiongozwa na Moze iyobo,wakafungua pazia la burudani Weka mbalii na watotto
Main menu
slider1
technology
business
PICHA:ICHEKI DUBAI YA MWAKA 1950 NA DUBAI YA MWAKA 2013

No comments :