Wakati kamati ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuhakikisha mipango inaenda sawa kwenye viwanja vya leaders tayari kabisa kwa kwenda kuupokea mwili wa marehemu Albert Mangweha aliyefariki Nchini South Africa tarehe 28.52013... Mwili wa marehemu unategemewa kuwasili kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa Julius Kambarage Nyerere mida ya saa 8 mchana na shirika la ndege la South Africa Airways.... Hili ndilo gari linaloelekea muda huu airport mahususi kabisa kwaajili ya kubeba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha.......Baada ya kupokelewa na kupelekwa moja kwa moja Hospital ya taifa muhimbili...
Kwa Updates zaidi kuhusu Mazishi ya Albert Mangweha pitia hapa hapa this is diamond kupata official news......
R.I.P ALBERT MANGWEHA...... |
No comments :