technology

business

TAMKO LA SHIRIKA LA SIMU BLACKBERRY KUTOA HAKI MILIKI KWA SIMU ZA IPHONE NA ANDROID KUWA NA BBM(BLACKBERRY MESSENGER)

Blackberry wametoa taarifa kwamba wanampango wa kuifanya
 BBM kutumika katika simu za android na iphone.
Andrew Bocking, Executive Vice President of Software 
Product Management & Ecosystem at BlackBerry alisema kwamba
“Wateja wa blackberry wamekuwa wakitaka BBM iwepo 
pia kwenye Android na iOS ya iPHONE. Aliendelea pia 
kwa kusema BBM kwa sasa ina watumiaji 60 million.
Whatsapp ina watumiaji 160 million, nadhani hapo utaona
 umuhimu wa kuanzisha BBM kwenye Android na Iphone.”
Lakini watu wamekuwa wakijiuliza maswali endapo BBM 
itakuwa inapatikana kwenye Android na Iphone sasa 
kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na Blackberry?.


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :


three columns

grids

health