technology

business

HUSNA AKANA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANA F.A

MISS Sinza 2011, Husna Maulid, juzikati ameibuka na kudai 
kwamba katika maisha yake hajawahi kutoa penzi kwa msanii 
wa muziki wa Kizazi Kipya, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’. 

Husna aliyasema hayo Mei 15 mwaka huu baada ya 
kuvumishiwa kuwa anatoka kimapenzi na staa huyo na 
kwamba, kwa sasa hakuna kificho chochote kwani hadi 
picha zinazowaonyesha ukaribu wao zimezagaa kwenye mtandao.

“Sijawahi kutoka na Mwana FA, zaidi ya kufanya naye tangazo
 ambalo niliombwa na dada’ngu, Mboni Masimba nikafanye 
naye kwa ajili ya shoo ambayo anaiandaa hivi karibuni, 
wanaonihusisha na mapenzi na Mwana FA hawanitendei
 haki hata kidogo maana sijawahi hata kuwa na wazo 
naye,” alisema Husna Maulid.


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health