technology

business

KINANA ATUA CHINA...ALAKIWA NA MARMO

KARIBU BEIJING: Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo
 (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,
 kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing, China, baada ya Kinana na
 ujumbe wake kuwasili akitokea jimbo la Sichuani, Jana Machi 17, 2013. Kinana na
 ujumbe wa viongozi 14 wa CCM wapo nchini china kwa ziara ya siku
kumi ya mafunzo, kwa mwaliko wa Chama CHa
 Kikomunisti cha China.
Balozi wa Tanzania Nchini China, Philip Marmo akizungumza…

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health