SIYO KWELI KUWA DULLY ALIKUWA AKIFANYA STAREHE BADALA YA KUMUAGA NGWAIR
Kuna taarifa ziliandikwa na baadhi ya mitandao kuwa Brother Dully hakwenda kupokea wala kuaga mwili wa Ngwair na badala yake alikuwa aki...
![]() |
| Msanii Mchizi Mox akiwa mbele kabisa wakati mwili umewasili uwanja wa ndege wa J.K NYERERE AIRPORT.... |
![]() |
| Baadhi ya wasanii na waandishi wa habari wakiteta jambo wakati wakisubiri mwili.... |
![]() |
![]() |
| Msanii Madee toka Tip Top Connection akihojiwa na kituo kimoja cha Television uwanjani hapo... |
![]() |
| Lamar Niekamp Producer wa Fishcrab kushoto na Proffesor J walikuwepo kuupokea mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha.....!! |
![]() |
![]() |
| Hapa Mwili ndio ulikuwa unatoka ndani ya uwanja wa ndege..... |
![]() |
| Mwili ukiwa umekabidhiwa kwa wahusika tayari kwa kuelekea Hospitali ya Taifa Muhimbili.... Umati wa watu ulivyofurika kupokea mwili wa ndugu yetu Albert Mangweha.... |
![]() |
| Mashabiki wa Albert Mangweha waliojitokeza Airport wakilia kwa uchungu baada ya kuona Jeneza lenye mwili wa Ndugu yetu Albert Mangweha ulipopokkelewa.... |
![]() |
| Maelfu ya watanzania wakiongoza msafara kwa mguu kusindikiza mwili wa Marehemu Albert Mangweha Hospitsli ya Taifa Muhimbili...!! |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| Mihili ya watu waliopoteza maisha ikiwa imefunikwa baada ya kutolewa ndani ya ICE... |
![]() |
| GARI ZOTE ZIKIWA KATIKA HALI YA KUTISHA..... |
![]() |
| Shugli ya kuaga mwili ikiendelea muda huu nchini South Africa..... |
![]() |
| Kinjeketile katikati akiwa na watanzania waishio nchini South Africa... |
![]() |
| Msanii Bushoke kushoto, Moja ya watu walioko bega kwa bega kusimamia mipango ya kuaga mwili nchini South Africa.... |
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY