PICHA:NA HIKI NDICHO WCB PRESIDENT NILICHOKIFANYA MKOANI GEITA
Mwonekano wa Ziwa Victoria jioni Baadhi ya Crew yangu ya WCB wakiwa kwenye pantoni,Jijin mwanza wakielekea mkoani Geita,the president nilik...
| Mwonekano wa Ziwa Victoria jioni |
| Baadhi ya Crew yangu ya WCB wakiwa kwenye pantoni,Jijin mwanza wakielekea mkoani Geita,the president nilikuwa nimwshatangulia mapema |
| Nikiwasili eneo la tukio |
| Nikiongoza siraha zangu kuwapa haki yao wana Geita |
| Kama wewe siyo mtu wa mazoezi,dont try this at home.ha ah ha..Rama Tonsa akionyesha manjonjo yake |
| Kwa deck,RJ na Qboy msafi |
| Nani ananunaa hapa? |
| Thanx for that love watu wangu wa Geita |
| Mda wetu wa kulewa sasa.........mapenzi mabaya sana jamani..na mtu akishajuwa anapendwa huwa anajishauwa sanaaaaaa!! |
| Huyu Dogo alichukua nafasi ya True boy,Geita kuna bwana am telling you. |
Nashukuru Mungu nilimaliza salama na ninawashukuru sana mashabiki wangu wa Geita ninawapenda sana. |
| Nay kwa stage |
| Ndiyo ulikuwa unaimba nini sasa huko!!!!subiri nikakufurahishe |
| Sitii neno hapa.......... |
| Fujo zetu tukazianzia hapa |
| Anaimba vitu gani huyu!!!? |
| Mziki hamuuwezi nyie ni ubabe tu..bora nikimbie usijenitia mbata ..ha ah ha ha!! |
| Hii stayle alipoitoa Nay,anaijua mwenyewe |
| Baada ya show backstage na baadhi ya mashabiki waliotaka kupiga picha kwa ajili ya kumbu kumbu zao |
| Nashukuru pia Jeshi la polisi,ulinzi ulikuwa umeimalishwa sana |
| Hotelin tukipata upepo nje na kutafakari show zingine zilizokuwa zinafuata |
| Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar |
| Nikiongea mawili matatu na baadhi ya waandishi waliokuwa wamepiga kambi uwanjani kunisubili |
| Watu walikuwa wameshapata taaarifa kuwa nimewasili,hapa baadhi ya mashabiki wakisubiri kwa hamu kumwona the president |
| Nikizungumza na watu wangu wa zanzibar ndanui ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar.Coconut Radio |
| Baadae nikakutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach lesort |
| Wanahabari kazini |
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY