technology

business

NEWS:NICKI MINAJ AVUNJA REKODI YA CHAT ZA MUZIKI NCHINI UINGEREZA

Mwanamuziki mwenye matashititi yake yanii
mwenye mvuto wake kutoka Young


Money,Nicki Minaj aweka rekodi nyingine.
Kutokana na album yake ya PinkyFriday Nicki Minaj amekuwa
mwanamke wa kwanza Rapper kufanya
 vizuri kwenye Chat za Muziki
nchini humo.
Aidha album hiyo imewezwa chezwa kwa siku
zaidi ya mara 20 hadi 40 nchini humo
licha ya kuwa na album zingine lakini PinkFriday
 ndio iliyoweka rekodi hadi sasa.

Hongera kwa Young Money na First Lady
mwenyewe Nicki Minaj kwa kuzidi kufanya
vitu vizuri na kuweza kuuteka soko la muziki duniani kijumla.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health