technology

business

DIAMOND PLATNUMZ & NAY WA MITEGO WALIVYOWASHA MOTO DARLIVE......

Napenda kurudisha shukrani za pekee kwa mwenyezi mungu kwa siku 
ya jumamosi na siku zote za uhai wangu
kwa kutusimamia vilivyo vijana wake kwenye kazi zetu na riziki zetu...
Pia Nachukua fursa hii kuwashukuru mashabiki zangu wote na 
mashabiki wa Nay maelfu kwa maelfu yaliofurika darlive 
kuja kushuudia historia tuliyoweka pamoja
kama battle ya BONGOFLEVA NA HIPOHOP.....Nashukuru 
Uongozi mzima kwa kusimamia hali ya usalama
kuhakikisha mambo yote yanaenda saawia kama ilivyojiri......
Napenda kuchukua muda huu kuwaonesha album
ya picha nzima ya tukio zima la DARLIVE Jumamosi ya tarehe 
18.5.2013..... Na katika kuendeleza battle mashabiki waamue nani mshindi
tunaelekea maisha jumapili hii pale pale mataa yanapowakaga 
kwa ufasaha zaidi,tukutane pale pale 26.5.2013ASANTE SANA....!

ZIFUATAZO NI PICHA ZA USIKU WA NAY WA MITEGO 
& DIAMOND PLATNUMZ,DARLIVE.
First Lady wa Mkong'oto JAZZ Band Nae alikuwepo
 kuhakikisha ushindi....

''Hivi huyu bwana mdogo atamuweza kweli Nay wetu....??''
 Ommy wa Mkong'oto akiulizwa na
First Lady.....!!!
Ebwana eeeeh Dogo kafika na Jeshi lake uko Nje........''
Nay akiongea na simu ''Njooeni Backstage Nyie mchele
 mchele nawasubiri....!
Nikiwajuza mashabiki zangu kupitia social network
 jinsi navyoenda kumgaragaza
mtoto wa manzese....
Nay akaanza kwa manjonjo kukiwasha Jukwaani....
Watuuu weeewee wakijibu kwa shangweeee......

Mi ni maji usipokunywa basi utanioga.......


Nay akishow love kwa mashabiki zake kwa kuwapa mkono...
Nay akiwauliza mashabiki zake''Huyu mbana pua akija
 ataimili mziki huu....??


Mizuka ikiwa imempanda sasa......

Mbagala mmenielewa....au mtanielewa baadaeeee.....

Backstage nikikoki silaha zangu hatari kwenda kufunika 
huu muziki wa Hip Hop kabisa

Haya sasa Mule Mule......!



Mbagala mmeniskia.......tatizo kwetu mbagala na leo nimerudi kwenu....

Nikisalimu mashabiki kwa kushow love kwangu.....t was crayyzz baby.....
mizuka ya kimanyema ikapanda sasa...




Eti Nani Amenuna........?? Nani amenuna.....??






akicheza tu namuharibia hapa hapa kwetu huyu mbagala......





Hapo sasa.......Mtu mbili kati.....amuheni wenyewe.........!!


BONGO FLEVA & HIP HOP.....


NANI MSHINDI?? EBU SEMA WEWE......


Baada ya show Diamond & Nay wakishukuru Mashabiki na kuwapa 
zawadi ya Video ya Muziki Gani....!!

Emma Platnum,Hamish Donovan the masteminder Behind This Is 
Diamond &Rama Mpauka...
Baada ya show kumalizika.....
From Left My Blood Sister Esma Khan,Siwema Shem 
Lake Na Nay wa Mitego....

Dumi Utamu,QBoy Mnyama & Rama Mpauka.......
we The Best Ever.......
Nay wa Mitego,Siwema and Diamond Platnumz....
U May kiss the bride...hahaha LOL....


MAHABATI.....
Crew nzima ya Mkong'oto Jazz Band.....


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

5 comments :

  1. nmechek video, vp diamond anzisha account yko youtube uweunaweka intrvw, show, hi 2 fanzz nk, ur a starr nw man

    ReplyDelete
  2. kwa hili nimekubali sanaaa mpe hi pacha wangu Nay sanaa tuu: By LINK CLASSIC www.linkclassic.webs.com

    ReplyDelete
  3. daaaaah

    Sio siri @bro imekua TANZANIA tu na mila za kurudishana nyuma ila laiti ungekua far abroad lke UK leo tungesema mengne u guys mko poa ..... Sana na if posble naomba attachment ya video ya muziki gan through my e-mail

    ReplyDelete


three columns

grids

health