LEO NDO LEO PALE SERENA HOTEL.......PARTY ILIYOANDALIWA NA MKE WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,MAMA SALMA KIKWETE KWA AJILI YA KUCHANGISHA HELA YA KUSAIDIA WASIOJIWEZA ...!! BURUDANI ZAKUTOSHA ZITATOLEWA KUTOKA KWA BARNABA, PETER MSECHU,KALUNDE BAND NA INTENATIONAL PEFORM KUTOKA KWA MWANAMUZIKI NGULI TOKA RWANDA KIDUMU.. KWA KIINGILIO CHA USD $120 TU.....!! DON'T MISS THIS....SAIDIA WASIOJIWEZA SAIDIA TANZANIA..! |
No comments :