Mkurugenzi Mtendaji wa Bia ya Tanzania (TBL) Robin Goetzsche watatu kushoto akikabidhi funguo ishara kama kukabidhi basi kwa Taifa stars kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Leodgar Tenga (Wanne Kushoto) wakati kilimanjaro Premium Lager ilpokabidhisha Basi Hilo Makao Makuu ya TBL Jijini Dar Es Salaam Leo. Wengine kutoka kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe,Mkurugenzi wa Masoko wa TBL ,Kushila Thomas,Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Kim Poulsen,Mchezaji wa Taifa Stars aliewakilisha wenzie,Erasto Nyoni,Katibu Mkuu wa TFF aNGETILE Osiah ,Ofisa Mwandamizi wa Baraza la Michezo Tanzania,Chalukulu John na Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Sunday Kayuni...!! |
No comments :