 |
Mpango mzima ulianzia kwenye P.A |
ANGALIA KIPANDE HIKI CHA VIDEO,WASAFI WALIPOINGIA STEJINI
 |
Watu wangu wa masasi walikuwa na mzuka sana... |
 |
Securty walikuwa na kazi ya ziada sana,kuwazuia watu kutokupanda stejini coz kila Fans alitakakuimba,kucheza,kupiga picha na mimi kwa wakati mmoja. SINA LA KUSEMA,JIONEE MWENYE VIDEO HII KISHA UNIAMBIE WEWE... |
JIONEE JINSI SECURTY ALIVYONUSULIKA KUPIGWA NA FANS,BAADA YA KUMZUIA HASIPANDE STEJINI......
 |
Mzuka umeishapanda natamani nitoe nguozote... |
 |
Jamani,sijui huyu dada alitaka kufanya nini mmmmh! |
 |
Ilinibidi nitumie nguvu za ziada,kujitoa kwenye mikono ya Mrembo huyu |
 |
Ilibidi Polisi waingilie kati na kuwasaidia security baada ya kuonesha kuzidiwa nguvu na Fans... |
 |
Baada ya show.....hapa niko hoi kinoma |
 |
Namshukuru sana Mzee Mustapha,Mkurugenzi wa Emirates Hall kwa kusababisha Wasafiii kufanikisha show hiyo... |
mmmh ulikua na kazi ya ziada...shoo kama hz inabidi uanza kwanza na gym!!!
ReplyDelete