technology

business

ZIJUE ACOUNT FAKE ZA DIAMOND PLATNUMZ ON FACEBOOK


KUNA WATU WAMEKUWA WAKITUMIA
 MITANDAO YA KIJAMII VIBAYA KWA
 KUTENGENEZA ACOUNT FAKE WAKITUMIA
 MAJINA YA MASTAA MBALIMBALI NCHINI
 NA WENGI WAKIFANYA MAMBO  AMBAYO KWA KIASI KIKUBWA
 YANASHUSHA HADHI NA STATUS YA 
MSANII HUSIKA KAMA VILE
KUOMBA FEDHA ,KUTAPELI 
WATU,KUPOST TAARIFA ZISIZO NA UKWELI N.K,NA MIM NIKIWA
  NI MMOJA YA WASANII AMBAO MAJINA 
YETU YANATUMIWA SANA NA WATU KUTENGENEZA
 ACOUNT FAKE,NIMEANZISHA ZOEZI LA
 KUWEKA WAZI ACOUNT ZOTE AMBAZO NI FAKE NA SIYO ZA
 DIAMOND HALISI NA NINAFUATILIA TARATIBU ZA KISHERIA
 ILI KUWABAINI NA KUWAWAJIBISHA WALE WOTE WANAOTUMIA JINA LA DIAMOND PASIPO IDHINI YANGUKWA LEO NAANZA NA MTU ANAEJIITA 
Diamond Platnumz Swaqq,UKIKUTANA NA
 ACOUNT HII IEPUKE,SIYO DIAMOND HALISI...PIA KWA YULE ANAYEHITAJI 
MAWASILIANO NAMI YA KIBIASHARA
 USITUMIE FACEBOOK MANAN 
NYINGI NI FAKE,WASILIANA NAMI KUPITIA EMAIL YANGU YA ..diamondplatnumz@gmail.com AHSANTENI
Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

4 comments :

  1. shukrani kaka kwa maana hata mie nimekuwa na shinda hilo,kila mara ninapowasiliana nawe napata majibu kadri ya fikira zako,hadi nafika kushanga huyu sio wewe kamwe..fanya hima tupe account zote fake,mie nakuunga mkono kabisa kaka..watu wajifunze kujitafutia kwa uhalali

    ReplyDelete
  2. akili yako inafanya kazi vizuri poa sn

    ReplyDelete
  3. safi Doamond kwa kweli mimi mwenyewe nilikuwa nashangaaa wewe kama wewe una acc ngapi ,umefanya vizuri utawasaidia hata na wengine watu wamezoea kuwachafua wasaniii acheni mchezo huo mchafu.wasanii wetu tunawapenda kama Diamond anavyotuwakilisha nchi mbali mbali sifa zote zinakuja Tanzania.sasa tusiwachafue wasaniiiiii

    ReplyDelete


three columns

grids

health