Kila mtu anaithamini na kuipenda tarehe ya siku yake ya kuzaliwa,ni siku ambayo baadhi yetu huifurahia kwa mitindo tofauti tofauti kulingamna
na nafasi aliyonayo mtu husika,lakini hebu jiulize how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo nilivyojiskia siku ya jana baada ya kufanyiwa suprise ya birthday party na kipenzi changu,Penniel pamoja na Mama yangu mpenzi,dada yangu Esma,Halima kimwana na familia yangu kwa ujumla. checkout picha zikijieleze zenyewe........ |
was cul, congrats
ReplyDeleteAm soooo fuckin lovin it....!! Mungu awape maisha marefu yenye upendo na amani...
ReplyDeleteal-masi kweli, brother wangaa, tena kwa sana. akupe maisha marefu mwenyezi mola.
ReplyDeleteNiceee fanya yako Now kuwapa v2 vzur! wa TZ
ReplyDeleteMeeeeeeeeeen its great..........love them a lot
ReplyDeleteKeep working hard brother you still have rival behind you. All the best
ReplyDeleteKila la kheri,maisha marefu zaidi..
ReplyDeletekila la heri maisha marefu uzidi kuwapa adabu game ya bongo #wasaaaaafiiiiiiiiiiii
ReplyDeletehttps://www.facebook.com/Wilstonejoel
ReplyDeletehttps://twitter.com/MajangaTz_CEO
kwani kila birth unabadilisha mrembo........JUZI UKO NA WEMA LEO NI PENNIEL
ReplyDeleteIO INGINE ATAKUWA NANI..??SIO ISSUE TANGAZA MSIMAMO
Woow! nice.
ReplyDeletewhao luvly,romantic and unique..happy belated birthday
ReplyDeleteIpo poa bt uyo gal wko cjampenda cz hajapendezesh birthdei kvle..... Kawa km mgeni mualikwa bhn
ReplyDeleteNilidhan suprise yenyewe ndoa kumbe hakuna jipya
ReplyDeletenice
ReplyDeletePenny ni chaguo lako katulia sana huyu binti anajiheshim wanaomuona mshamba acha wamuone mshamba ,wewe angalia heshima yake ,mwanamke mwenye thamani ni yule ambae hana sifa mbaya skendo chafu muhuni,sifa zote hizo mtarajiwa wako anazo,hapo usisikilize la mtu ziba masikio,huoni toka umeanza mahusiano na Penny hata wewe anakufanya uheshimike hongera sana kwa birthday simple lakini imependeza sana,sio hao wanaofanya ufahari na kesho tunasikia skendo chafu,Mwanamke mwema ni yule analinda mme ,mchumba wake,na mpumbavu ndiya anaeharibu kuvunja penzi lake.safi sana Penny pale ulipoulizwa kuhusu Irine Uwoya ulijibu nino moja tu hanihusu na wala siwezi kumjibia Diamond,hapo nilikupa max zote japo sikujui ,na nikakuona wewe ni mwanamke mwema,Diamond muheshimu sana Penny kama anavyokuheshimu.
ReplyDeleteYou are a star diamond.... Asiyekubali mbishi..... Nampenda penny watu wanamtetea wema wakati malaya wa kutupwa. Penda unapopendwa babu weewew mengine unatafuta majanga
DeleteUr a really perfect couple, don't listen what people say you just look what you have guys which its a real love and that it's what I can see to you guys..........god bless you and your family........always stay protected .
ReplyDeleteNajua watasema mengi tafadhali usiskize.penny ana mapenzi ya shari kwako kaka,mtunze see mama wa watoto wako.ukimkosea huyo sidhani kua utajapata mapenzi ya kweli kwengineko.la kwako ni kua alichaguliwa na mungu hata wapande hexing daima atakua wako
ReplyDeleteI love u guyz ur da best long live vipenzi
ReplyDeleteHIVI ILE MIMBA YA SPIDO ILIDUMBUKIA CHOONI??ahahahhhhahahahhh ETI NA MTUACHE TULALE! ovyoooooooooooooooooooooooooo
ReplyDeleteHappy birthday
ReplyDeletePennt pls nxt tm put on a coloured dress!!
wow, beautiful to have a sweet surprise on your b.day, happy birthday! turning to?
ReplyDeletehilo kali sana ila nina ham yaku onana na wewe face to face na kuna ngoma nataka niku uziye
ReplyDelete