Mwanamume aliyekuwa akijifanya Jokate akiwa amewekwa kitimoto
Kumekuwa na tabia ya watu kutumia mitandao ya kijamii kutengeneza account fake wakitumia majina ya mastaa wakubwa na kufanyia utapeli ama kufanya mambo ambayo kwa kiasi kikubwa yanashusha status ya msanii husika na zaidi inakuwa inawachanganya hata mashabiki wasijue kama wanawasiliana na msanii wao halisi ama fake..lakin dunia ya sasa imebadirika ,ni vigumu kutenda jambo hususani linalohusisha mitandao na usifahamike ama kukamatika..na mtu wa mfano ni Jamaa aliyekuwa akijifanya jokate kwenye mtandao wa facebook kutapeli watu..ambapo alifanyiwa mbinu za kidigitali na hatimae kukamatwa tizama picha za tukio la kukamatwa mtu huyo |
No comments :