technology

business

HERE IS THE LYRICS OF MDOGO MDOGO

Embedded image permalink

{Verse 1}
Nimetembea tembea Bara na visiwani...
ila nikajionea we ndio my Number one..
Natamani nikupe ila sina


nimejaliwa upendo heshima..
Maneno yao matamu yasikuibe mama....
si unajua binadamu wabaya sana...
Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2)
usije niacha kwa unyonge nachechemea... Utamu wa finyango na tonge ukanielemea...
Usije niacha kwa Unyonge nachechemea...
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu... {Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje! {Verse 2}
Kidogo nikileta Mumypti usinune..
Nikumbatie unikiss nijivune..
Kesho nizidishe ufanisi nijitumee..
Tujenge hadi nyumba Paris Wanunee....
Vimichezomichezo vya Saloon chunga wakipanga...
Wasije kukufunza vya uhuni ukawa unadanga...
Ukaanza safari Mchana jua kali, usiku haulali ayaah! ( ×2)
Wanawivu hao, wachonganishi hao ( ×2)
Ukaanza safari, Mchana juakali, Usiku haulali Aah yaya..! {Chorous}
Mwendaazimu kaingiaje!
(Asije kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Akanikatia na Uhondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Kitorondo kitorondo eeh)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendaazimu kaingiaje
(Oooh Kitorondo)
Mwendaazimu kaingiaje!
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendaazimu kaingiaje! {Bridge}
Mdogomdogo
Mdogomdogo (Usijali mama)
Mdogomdogo (We wacha waongee)
Mdogomdogo (Usiku na mchana)
Mdogomdogo (Mpaka wanyongee)
Mdogomdogo (Na ntakupenda sana)
Mdogomdogo (Mahaba ninyongee)
Mdogomdogo (sijali lawama)
Mdogomdogo (acha wanizonge)
Mdogomdogo (kachirikachiri)
Mdogomdogo (kachiri we ngao yangu)
Mdogomdogo (mwenzako taabani)
Mdogomdogo (nilindie roho yangu)
Mdogomdogo (wasije wa furani)
Mdogomdogo (wakaiba tamu yangu) {Ending Chrous}
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo)
Mwendaazim kaingiaje (mdogomdogo) 

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

11 comments :

  1. bonge la song
    upo juuuuu kaka mkubwa

    ReplyDelete
  2. mtu mbayaaa kifesiiii.... fanya yko... nmeipenda hii style, kma inawezekna weka na lylics ya song nyingine za Mtu mbayaaaaa... BigUp kk

    ReplyDelete
  3. broo umezingua grammar broo;-
    here are na sio here is.

    ReplyDelete
  4. NITAKUONA HUNA MPANGO MPANGO NA MZIKI WA KAMA HUTOITOLEA VIDEO KALI NYIMBO HII TENA MLETE CLARENCE PETERS AJE KUKITENGENEZA HAPA HAPA BONGO TUWANYAMAZISHE WATU....

    ReplyDelete
  5. Yes Ally Kiss umenena. Huu wimbo utolee video yake ya mazingira ya hapa home kama ile ya NITAREJEA! Tafadhali usiache sisi wapenzi wako tunakutakia uzidi kuwanyamazisha wabaya haoooooooooooo!!!!!

    ReplyDelete
  6. Hongera sana tunaisubiri kwa hamu kubwa sana hiyo video

    ReplyDelete
  7. Kiface hichi ki2 kinatoka saa ngpi mtu mbayaaa,,, npo youtube since 12 nasubiri

    ReplyDelete


three columns

grids

health