
Serikali ya nchi yake wanamfahamu kama
Curts james jackson lakini tunamfahamu zaidi kama 50 Cent
ambapo siku ya leo tarehe
6july anatimiza miaka 38 ya kuishi duniani,kwa faida ya
wasiomfahamu vyema ni kuwa,mchizi ni one of
powerful American rapper kiuchumi na
kimziki pia,mbali ya kuwa ni mwanamziki lakini pia ni
mjasiliamali,mwekezaji na mwigizaji na movie iliyompa credit zaid ni movie
ya Get rich or die tryin na wimbo uliomfanya mpaka leo hii watanzania
wengi tunamfahamu ni wimbo wa IN DA CLUB alioutoa mwaka
2000 na albamu zilizombeba zaidi ni albamu ya na Massacre,kwa umri wake ni lazima
atakuwa na mtoto,ana mtoto wa kiume anaeitwa
Marquise Jackson..kwa ufupi huyu ndiye 50 Cent ambaye yumo kwenye
list ya mastaa wa
dunia waliowahi kupiga show Jakaya land(Tanzania)
No comments :