MANENO MENGINE HAYA HAPA...
1.Ukitaka Kujua una mbio, tikisa mzinga wa nyuki.
2.Daily News halisomwi tandale
3.Makalio ya sufuria hayaogopi moto
4.Shati lililotoboka, ndio dekio jipya
6.Weupe ungekuwa dili, tusingechambia kiganja
7.Hata usome international huoti ndoto ya kiingereza
8.Padri hasingiziwi mtoto
9.Chafya ya Mpishi haizimi moto!
10.Gogo halisukumwi kwa mkojo
NIFOLLOW INSTAGRAM KWA UPDATES ZAIDI@PAULCHAZZY
NIFOLLOW INSTAGRAM KWA UPDATES ZAIDI
No comments :