VERSE1:
Kwanza mapenzi safari, ujana ni maji ya moto
Walinenaga zamani...
Pili tumetoka mbali, matatizo changamoto
tu visa visa fulani...
tatu kidonda chako kwangu maradhi
Mama tu usononekapo kwangu simanzi..
Kwa mahaba uliyonipa nimenogewa
ni vurugu patashika punguza kidogo..
Na mengine kadharika toto si unanielewa?
Hapo hapo uliposhika...ukiongeza kidogo mi mwenzako ntaumia
CHORUS:
Your my number one - my sweety sweety
Number one - my baby ooh oh
Your my umber one...oooh my darling
Number one - roho yangu mama x2
Roho yangu mama...
VERSE 2:
Na nna wivu sikatai, maana uchungu wa mapenzi naujua
So Usije kunilaghai nikaja kuzama ukanizingua x2
Now show me how they do..
Ngololo x6
Hiiiiiii nyimbo kila mmoja ameikubali haina mpinzani ipo kwenye chart kwa sasa ni no 1
ReplyDeleteni wimbo nzuri sana, na n poa vile umezungumzia suala la wale wanaosema umekopi kwa dayna na linex= iz ngoma hazisomani et, watu wanataka vichwa vya habari kwenye magazeti yao eti
ReplyDeleteIkifika kwenye swala la kazi huwa ukosei u alwyz make tz proud ov u yo xo blessd luv u daddy
ReplyDeleteits all about gud music
ReplyDeleteMy number 1 is already number one Diamond. Just to tell, you a larger nunber of fans in Kenya esppecially Mombasa
ReplyDeleteshort and clear safi kaka kazana kaka
ReplyDeleteKaka ur da best kwenye kutunga na kila ki2 ur da best!!!!
ReplyDeleteMy name is Lulu toka Kenya. I listen to this song complimented by #Ukimwona# i cnt listen to any other the whole day...
ReplyDeleteUjana ni maji ya moto hahaha! Kali sana.
Matatizo kwangu changamoto... I like this song.
Song of the year 2013. Nairobi tuliikubali.
ReplyDeleteHii nyimbo hakika kama ungelikuwa na uwezo wa kuiimba kwa Madaha kwa kiingereza ili Dunian watambue ulikuwa unazungumzia nn.. na hakika tuzo za mama na BET... zilikuwa zako
ReplyDeleteTranslate it for in English
ReplyDeleteTranslate it for in English
ReplyDelete