technology

business

UJUMBE WA SIKU: TOKA KWA HAYATI BABA WA TAIFA MWL.JULIUS K.NYERERE

Tutawasha Mwenge na kuuweka juu ya Mlima Kilimanjaro,
umulike mpaka 

nje ya mipaka yetu, ulete matumaini pale pasipo na
matumaini, upendo 

pale palipojawa na chuki na heshima pale palipojaa
dharau - JK Nyerere 

1961,maneno yalinenwa na mpiganiaji wa uhuru wa taifa
la Tanzania Mwl J.K NYERERE tarehe 9.12.1961 wakati
Tanzania inapata Uhuru toka kwa koloni la kiingereza..

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health