Muda muafaka umefika kwa wale ambao awajafunga muda wa
lunch time umefika basi ukiwa unapata chakula chako cha mchana
sambamba unaweza tupia macho kwenye kideo hiki kizuri kabisa
chakula kishuke sawa sawa pembeni ukiwa na kinywaji chako cha
Coca-Cola chakula kishuke murua kabisa.....Nakutakia mchana
mwema mtu wangu wa kweli na Swaum Maqbuul kwa wote
waliofunga......
Powered By:Coca-Cola
No comments :