Diamond- Congo and Burundi Tour (full concert)
Top Comments
- Bongo Fleva inalipa na inakubalika kwa East Africa kiukweli ...safi sana diamond unatuwakilisha TZ·
am addicted to wasafii,....bro uko sawa hata wapinge vp we ni mkali....zachaaa eyyooo chali..wasafi,it ur boy desash here wasafiiii
ReplyDeleteWw ni noumaa sana Diamone aka cocaBoy
ReplyDeleteumetisha mnyama
ReplyDeleteUpo juuuuuuu na utazidi kuwa juuuuuu maana unawakumbuka sana watoto yatima na kuwajali kwanini MUNGU ASIKIWE JUUUUU,mimi napenda mavazi unavyolitawala jukwaaaa shoo kwa ujumla na hata sauti Mwenyezi Mungu amekujalia kwa hilo unaimba vizuri sana maneno halisia ya kiswahili ndiyo unayotumia hapo tu napenda sana kwa ujumla wewe ni mkali kwa East Africa na visiwa vyake toa Cd moja tu ikionyesha show zako baaadhi tafadhali nimeongea sana sijui ni mara ngapi mimi mdau wako
ReplyDelete