DIAMOND NA WASANII WENGINE WA BONGO FLAVA WAHALIKWA KWENYE MKUTANO WA CCM MOROGORO
Linah akitumbuiza kwa mbwembwe kama ndege Mnana.... Katibu Mkuu wa Ccm Abdrahman Kinana na wajumbe wake..... Katibu Muhenezi wa Ccm Vijana M...
| Linah akitumbuiza kwa mbwembwe kama ndege Mnana.... |
| Katibu Mkuu wa Ccm Abdrahman Kinana na wajumbe wake..... |
| Katibu Muhenezi wa Ccm Vijana Mhe.Nape Nauye akisikiliza muziki kwa hisia.... |
| Tmk wanaume Family nao walikuwepo......wakiongozwa Chege Chigunda.... |
| Qboy akiset Mipango kabla ya Rais wa wasafi kupanda kukiwasha stejini... |
| Dancers wa wasafi wakifurahi jambo kwa pamoja....!! |
| Si ndo zamu ya Wasafi ikafika kukinukisha Stejini..... |
| Bahada ya Diamond Kupanda steji ilikuwa haitoshi...... |
| Mpera Mpera kama kawaida yake iwe usiku au mchana mwendo ule ule... |
| Yaniii......hadi raha ni step kwa step....kukonga nyoyo za mashabiki.... na wanachama wa ccm.. |
| kwa kuringa ringa ndio wanadata.... |
| wakina mama wa ccm wakicheza Nyimbo ya Diamond kwa dzain ya mchezo wa kwaito.....aijalishi umri ni kulewa tu.. |
| wananchi wa Morogoro na wanachama wa CCM ....Tumeelewana..........??? yeeeess ...." |
| Mwenyekito wa baraza la mapinduzi zanzibar Dk Mohamed Shein akiwasili msikitini kwaajil ya swala ya kuombea maiti.... |
| Mwili wa marehemu Bi Kidude ukitolewa nje ya mskiti tayari kabisa kwa kuelekea makaburini....baada ya kumaliza kuswaliwa |
| Licha ya mvua kali lakini watu walihakikisha mpaka mwili uingie kaburini na tufukie ndo mengine yatafata.... |
| Ulinzi ulihimarika sana maeneo haya....... |
| Viongozi wanchi wakiwasili makaburini tayari kabisa kwa maziko |
| Rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania Dk Jakaya na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ndugu Ali Mohamed Shein wakiwasili makaburini kwa ajili ya maziko |
| Rais Jakya alihairisha ziara yake ya nchini Uholanzi na kurudi kuja kumzika legendary wa Tanzania,Fatuma binti Baraka..... |
| Issa Michuzi nae alikuwepo kuhakikisha akosi matukio kwa ajili ya habari za mitandao |
| Diamond pia alikuwepo bega kwa bega mpaka mwisho wa maziko bila kujali mvua....na hali ya matope iliyokuwepo wakati huo |
| Licha ya kuwa na Mvua Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho kikwete na Mwenyekit wa Baraza la mapinduzi Dk Muhamed Shein walikuwepo makaburini mpaka mwisho wa maziko....!! |
| Boss Ruge wa Clouds Media akiwa tapa tapa makaburini baada ya mvua kubwa kunyesha |
| Mwana Fa na Fid Q baada ya maziko........awakujali mvua ...kuwanyeshea ...lakini bibi aende salama.. |
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY