YALIYOJIRI KWENYE BIRTHDAY YA THE BOY (SIMPLE 69)
Lady Naa Along side with Birthday Boy & Esma Platnumz Malkia Halima Kimwana akiongea na Mwenyekiti wa Bongo Movie Vincent Kigosi....!! H...
| Lady Naa Along side with Birthday Boy & Esma Platnumz |
| Malkia Halima Kimwana akiongea na Mwenyekiti wa Bongo Movie Vincent Kigosi....!! |
| Heatman Mbilinyi ,Simple the bithday boy na Richie Richie.....!! |
| Hoot Divaz In da House........!! |
| Mama Ayanna Akiwasili Leaders na Keki......!! |
| The Boy Simple akiwa na keki ya kinyama.....!! |
| The Boy akisubiri kukata keki......!! |
| Simple the Boy akimlisha Keki Mama Ayanna ....!! |
| Shilole pia alikuwepo katika sherehe hiyo ya Mnyama simple69 |
| Freddy wa Makomando akimlisha Birthday Boy Keki...!! |
| Simple 69 akimlisha diva wa Bongo Movies Jacquline wolper...!! |
| Batuli akitoa Mzigo hatari bahada ya kushindwa kutimiza zoezi alilopaswa kufanya...!! |
| Tajiri Mfupi Steven Nyerere Hapo akihesabua Mzigo hatari....! |
| Bongo Movie nao hawakukosekana....!! |
| Malikia Halima Kimwana Pia alikuwepo Kama Mc kuweka Matashititi.....!! |
| Freddy wa Makomando Pia alikuwepo along side with K style Twista...!! |
| Moment of silent kwa ajili ya kuwakumbuka marehemu wote waliotangulia mbele za haki...!! |
| Malikia Halima Kimwana,The Boy na Queen Diva Jacquline wolper.......!! |
| Hapa ulikuwa wakati wa kufungua champaigne for the Birthday party...!! |
| Wazee wa Kuvimba wakiwa na Birthday Boy Simple the Boy.....!! |
| Baby's Mamas wa Town nao walikuwepo wakiongozwa na Malkia Halima Kimwana Aliekuwa MC ..! |
| Yaliyojiri kwenye birthday ya the boy....! |
| Nilipowasili Redio Nilikuta nikisubiriwa kwa hamu na moja ya shabiki wangu kukabidhiwa zawadi..! |
| Na hii ndio zawadi nilokabidhiwa na Ali Daudi Msuri Mchoraji mkubwa na maarufu toka Zanzibar...! |
| Hapa nikipokea zawadi Nyingine kwa niaba ya Producer Marco Chali..... |
| Hapa ni picha ya pamoja na Mchoraji Ali Daudi Msuri....!! |
| Hapa nikifafanua jambo kwa undani zaidi..!! |
| Hapa nikiwa na Sutti Toka Zenji Fm Moja ya watangazaji Nguli toka Zanzibar ...!! |
Created By paulchazzy & +255766640505 |By PAULCHAZZY