technology

business

TIZAMA PICHA 3 NIKIWA STUDIO JIJINI NAIROBI...

Siku ya Jumatatu baada ya kuwasili Nairobi kutoka
 Mombasa usiku nilkikuwa na meeting na
mwanangu aswa kabisa nadhani wamjua East Afrika
nzima wanamjua huyu wakuitwa Mzazi Tuva
wa kipindi kinachoonekana kupitia Citizen Tv  cha Mambo Mseto....
Nia na madhumuni kama unavyoona tupo studio na
mzazi tuva,hahhaaha sio kama mzazi Tuva anaimba
laasha nguli huyu wa utangazaji nchini Kenya
anasimamia baadhi ya wasanii chipukizi
na katika kuombana ushauri wa kina zaidi aliniomba
nitie maguu studio pale niweze kusikiliza
ngoma mbili tatu za wasani wake ikiwemo kumsikiliza
msanii wake ambae alikuwepo studio muda ule wa night kali.....

Baada ya kumsikiliza Msanii huyu chipukizi,
anaejulikana nchini kenya kwa jina la
Will Paul,Will ni msanii anaeimba muziki wa
kumtukuza Mungu nikimaanisha
Nyimbo za Injili lakini kiukweli ni kwamba aliniacha
hoi pale nilipoona moja ya show alizofanya
jukwaani uwa anaingia kwa nyimbo yangu ya Mawazo
,duh ebhanaa mshikaji kumbe mimi
ndio role model wake,nilifurahi sana kuonana
nae na niliona ni jambo la kheri
kwake na kwangu kukutana pale.......
Baada ya muda kusikiliza Ngoma zake,Will alionesha kiu ya kutaka kufanya
Ngoma na Mimi na Binafsi nilichoomba kwake ni yeye kuweza kufanya
ngoma zaidi zenye uhalisia zaidi na kimaendeleo kadhaa kisha atampa
msimamizi wa kazi zake ambae ni Mzazi Tuva anifikishie baada ya hapo
ntakaa chini nijue ni nyimbo gani naweza mshika mkono chipukizi
huyu mwenye kiu ya mafanikio,Dogo kiukweli anaimba lakini
kama msanii mkubwa East Afrika na kati nazidi kumpa changamoto
akazane na kazi za muziki na asikate tamaaa...

Muda ulivozidi kwenda si unajua tena ilikuwa midaa ya saa
kumi alfajiri ilinipasa nihamshe nijongee hotelini mapema
kseho niangalie utaratibu mwingine......

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :

  1. Big up n ni vizuri unafikiria kufanya kazi nae. Its true u can tell u r his role model just by listening to his songs an looking at his dressing code. Wote ni wako washike mkono.

    ReplyDelete


three columns

grids

health