Msanii huyu anafahamika kwa jina la wakazi chini ya MJ REcords ameweza kufanya vitu vingi lakini hapa anaweza akatudhirishia kufanya kitu kizuri zaidi kama chipukizi kwenye gemu ya muziki kutokana na kuja kwake kwa kasi zaidi na muda huu kwa redioni anatamba na kibao cha cha TOUCH..... Kama kuona atachelewa kuwanyima mashabiki zake raha ameamua kuingia mzigoni kuanza kushoot video ya Nyimbo hiyo......Ndani ya video hii ni vitu vya kinyamwezi vimetumika ndani humu balaa sana ni magari ya kifahari na flowers ndo wanahusika sana humu ndani kiufupi video hii imeandaliwa kimataifa zaidi.....
Nisikunyime uondo kidogo waeza angalia picha za behind the scene wakati wakazi yupo kazini kushoot video..... Cheki hapa: |
No comments :