technology

business

NEWS:ZICHEKI PICHA 3 FEZA KESSY AKILA STAREHE JIJINI DAR

Hii ni baada ya kutoka BBA the chase alipowasili
 Bongo tu ni mwendo wa kujimwaya

mwaya unaambiwa mtu kwao bwana,hiki ndicho 

kinajieleza hata kwenye picha hizi tat
nilizokuwekea hapa uzione,za mwanadada Fezza 

kessy juzi kati akitanua jijini Dar
na marafiki zake yani bata kila sehemu sehemu.....

Zicheki hapa picha hizi lakini
ebhana eeeeh hiki kivazi alichokitupia...

Doooh MATATA sana......!!!
Muziki umemkolea mtoto wa Kessy........
Busy na simu pembeni fezza kessy na mwanadada
Vanessa Mdee alievalia miwani

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health