Mwanamuziki na mwanamitindo Kanye waest aijia juu na kuilamu familia ya mpenzi wake au twaeza sema familia ya mama wa mtoto wake Kim Kardashian kwa kuwatonya mapaparazi siku ambayo mtoto wao alikuwa hospital kwaajili ya kucheki Afya..
Tukio ili lililotokea nchi Marekani ukiangalia picha hii unaweza ona Kanye akiwa na mkewe mbele na mlezi wa mtoto wao,alicholaumu Kanye ni kwamba paparazi walijuaje kama wangekuwepo hospitalini muda ule kwa kuwa muda ulikuwa umeenda sana na walifika clinic pale pasipo kutumia magari yao ya kifahari.....'' Alizidi kusema Kanye ''Hili ni jambo familia wanalijua sijapendezwa nalo,kila kitu kuweka kwenye mitandao, wanajaribu taka pata picha za mtoto lakini muda ukifika watamuona lakini sio kwa kutumia njia sizo kabisa''
Mnyamwezi kapanic kuona anafatiliwa sana......Mpaka sasa akuna ajuae duniani mtoto huyo anafananaje kiukweli zaidi ya wazazi wa mtoto huyo na watu wa karibu wa familia ya Kardashian na sheria ukifika kumuona mtoto huyo uruhusiwi kuingia chumbani kwa mtoto na simu au camera.... |
noma sanaaaaaa
ReplyDelete