technology

business

NEWS:HAPPY BIRTHDAY FID Q ''NGOSHA''

Ukiangalia picha hii unaweza nambia ni nani huyu....?
 au ni mwanamuziki gani....?
Lakini sitaki kukupa wakati mgumu sana ebu kwa Pamoja
 tumwambie Happy Birthday Fid Q a.k.a
Ngosha the Swagga Don toka Mwanza......
Mimi Pamoja na Team yangu nzima ya wasafi na
 wasomaji wa Blogsite hii inakutakia
heri na baraka tele kwenye maisha yako,siku ya leo
 ikawe siku ya amani na upendo utawale
ndani ya moyo wako mema ya kazi yako yakapate
kutamalaki usoni mwako.....
HAPPY BIRTHDAY TENA MY BROTHER FID Q...


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :


three columns

grids

health