Siku za nyuma kidogo zilizopita Dj khaleed alituma video kwenye mtandao akimtaka Msanii mwenzie wa kundi moja Young Money kumuelewa na kumpa nafasi ndani ya moyo wake na ikiwezekana amuoe hivi karibuni lakini watu walishtukia mchezo wao na kuona kuwa ilikuwa ni mchezo wakuweza kuupa ujio mpya video ya Dj Khaleed aliomshirikisha Nick Minaj,Rick Ross & Future kwenye ngoma hiyo inayoenda kwa jina la ''I WANNA BE WITH U'' kusamba kiharaka zaidi kutengeneza vichwa vya habari lukuki...
Ila hapa nipo kukuonesha picha kadhaa nilizotoa mtandaoni za nyuma ya pazia wakati wanyamwezi hawa wakishoot video ya nyimbo hiyo ya Producer mkali zaidi duniani kwa sasa.... Video hiyo kutoka hivi karibuni...
Unaweza kuzicheki picha hizo hapa kuona kile kilichojiri nchini Marekani.... |
No comments :