technology

business

NEWS:AFRIKA YA MASHARIKI YAMPA UBINGWA WA BBA DILISH

Katika hali ya kustajabisha imeonekana
 kuwa ukanda wa Afrika ya Mashariki

ndio uliochangia vikubwa kumfanya
Dilish wa Nambia kujinyakulia
dola laki tatu za kimarekani kwenye
Finali za BBA THE CHASE 2013.
Unaeza kuangalia zoezi zima la
Tarehe 25.8.2013 la upigaji kura kwenye
finali hizi...
:
Angola
: Dillish 
Botswana: Cleo 
Ghana: Elikem 
Kenya: Dillish
Ethiopia: Beverly 
Malawi: Cleo 
Namibia: Dillish 
Nigeria: Melvin 
South Africa: Cleo 
Sierra Leone: Elikem
Tanzania: Dillish
Uganda: Dillish
Zambia: Cleo
Zimbabwe: Elikem
Rest of Africa: Melvin 

Total: Dillish = 5, Cleo = 4, Elikem = 3, Melvin = 2, Beverly = 1. 

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health