technology

business

NEWS:DILISH TOKA NAMIBIA AIBUKA MSHINDI WA BBA THE CHASE 2013

Baada ya kuonesha matamanio yake hadi kufikia
kuwa mshindi hii inatukumbusha mengi zaidi kwa upande
wa Dilish,Mshindi wa Big Brother The Chase 2013.
Dilish amejinyakulia taji ilo mbele ya washiriki wenzie
waliokuwa wamebaki washiriki watano.
Dilish ambae amejinyakulia kitita cha zaidi ya
milioni mia tatu za kitanzania alibubujikwa na
machozi mara tu ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji ilo......

Hii ni furaha kwa Dilish kuwa mwanamke wa
pili kushinda mashindano hay baada ya yule
wa kwanza kutoka Zambia,Cherise.Dilish amefanya
kweli kwa wanawake wote wa Afrika.

Hongera kwa Dilish kwa kujinyakulia kitita hiko.
Kwa maana alifika,akafanya yake na sasa amejishindia,Hongera Dilish


Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health