technology

business

NEWS:HII NDIO COVER YA MIXTAPE YA LIL WAYNE....!!!

Lil wayne au waeza muita Tunenchi toka Young Money
 baada ya kukamilisha kile wanachosema
unyamwezi kwenye Mixtape yake Mpya,hii
ndio cover ya Mixtape yake hiyo aliyomshirikisha
Dj Drama.
Imesubiriwa na kuuliziwa sana na wananchi
 nchini Marekani na duniani kiujumla,
sasa kaa tayari ndani ya 31/8/2013 ,MIXTAPE
hii itaachiwa na kuanza kuuzwa.

Pitia hapa hapa kwenye Blogsite yako na ujue undani
 zaidi ,utaweza kuisikilizia wapi au kuipataje.

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health