Leo Usiku kwenye Take One ya Clouds Tv kupitia Presenter wake machachari Zamaradi Mketema Yupo na Super Star Elizabeth Michael maarufu kama Lulu Michael kutoka Bongomovie...!! Hii ni official Interview yake toka atoke ndani kutokana na kesi yake inayomkabili ya mauaji juu dhidi ya Muigizaji nguli marehemu Steven Charles Kanumba..!! Kwenye Interview hiyo Lulu Michael amefunguka juu ya maisha yake yalivyokuwa ndani na kwa sasa akiwa uraiani na maisha yake kiujumla..... Pia amweza kufunguka juu ya kazi zake za sanaa na maendeleo yake kiujumla....!!
Usikose TAKE ONE ya Zamaradi Mketema kwenye Channel yako CLOUDS TV Muda ni ule ule Saa 3 na dakika 15 ya Afrika Mashariki Usikose...!!
Zifuatazo ni picha kwenye Interview ya Lulu kwenye TAKE ONE ya CLOUDS TV...!! |
No comments :