technology

business

PICHA:UMATI WA WATU ULIOFURIKA KUMSUBIRIA RAIS BARACK OBAMA UBUNGO KWENYE MRADI WA UMEME SONGAS

Huu ndio umati wa watanzania waliofurika pembezoni mwa
barabara ya Sam Ijoma  Majira ya Saa 5 asubuhi kusubiri
Msafara wa Rais kikwete na Mwenyeji wake Rais
Obama kwenye miradi ya umeme wa Songas...!!


Unaweza kuangalia picha hizi kuona watanzania
walivyofurika kuonesha ukarimu
wao na mapenzi ya dhati kwa kiongozi huyo
Mkubwa kutoka Marekani...
Ulinzi wa Jeshi la Polisi ukiwa umejipanga pembezoni
mwa Barabara kuhakikisha
mambo yote yanaenda sawa...!!



Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

No comments :


three columns

grids

health