technology

business

PICHA YA SIKU:RAIS BARACK OBAMA AKICHEZA MIDUNDO YA NGOMA BAADA YA KUWASILI NCHINI TANZANIA

Hii ni jana tarehe 1/7/2013 baada ya kuwasili Rais
 wa Marekani Barack Obama
akipokea zawadi kutoka vikundi mbalimbali vya
Ngoma vilivyotokea kumlaki uwanja wa ndege wa Kimataifa
 Mwalimu Julius Kambarage Nyerere....

Ndipo Baada ya Hapo akiendelea kusikiliza na kuona
wakicheza Ngoma uzalendo ulimshinda
Rais huyo na kuamua kuyarudi kidogo

 kukumbushia michezo ya Kiafrika.....
Kumbuka kuna msemo ''asili aipotei'' na ndio 

kama alichotuonesha Rais Obama
alipokuwa akicheza uku akionesha Tabasamu usoni...!!
Ndani ya suti Nyeusi Rais Barack
 Obama akiyarudi taratibu....!!

Post A Comment
  • Blogger Comment using Blogger
  • Facebook Comment using Facebook
  • Disqus Comment using Disqus

1 comment :


three columns

grids

health