Aliyekuwa Rais wa Misri Mohamed Morsi ametolewa madarakani na jeshi la wananchi wa Misri baada ya kukaidi amri ya jeshi aliyopewa siku ya jumanne kuachia madaraka ndani ya saa 48 toka siku hiyo....
Licha ya Jeshi kutoa mari hiyo alikaidi amri hiyo na kuendelea kuutubia licha ya hata mawaziri sita kwenye serikali yake kuachia madaraka mapema kabla hali ya hatari aijatanda kwenye nchi hiyo..... Jana usiku wa tarehe 4 Jeshi liliamua kumpindua Rais huyo aliyekuwa anapewa kiburi na wanajeshi wachache baada ya mbinu kutumika na kujikuta kufikia majira ya saa 4 usiku alikuwa amezingirwa na jeshi na kuhamishwa kuwekwa sehemu ambayo hadi sasa awajaitaja..... Uku nje ikionekana wananchi waliokuwa wamepiga kambi kwa muda wa siku 4 wakifurahia mapinduzi ya Rais huyo aliyekuwepo madarakani baada ya wananchi hao hao waliomchagua baadaya kukata utawala wa Rais Mubaraq miezi 3 nyuma,alietwala nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 14.... Kwa sasa Misrii ipo chini ya uongozi wa jeshi hadi hapo jumamosi jaji mkuu wa nchi hiyo atakapoapishwa kushikiria nchi hiyo kwa muda wa miezi 3 kama katiba ya nchi hiyo inavyosema, Kama nchi itapinduliwa na jeshi basi jaji anaruhusiwa kutawala mpaka kipindi hicho kipite uchaguzi ufanyike wa uhuru na haki....!!
Tusubiri tuone kitakachojiri kwenye muda huu wakati jeshi wakishikilia nchi...!! |
No comments :