Kadri siku zinavyozidi kwenda Tanzania inazidi kupiga hatua na kujengeka,Na hii ni Mall mpya iliyozinduliwa jana yarehe 3/7/2013 jijini Dar es salaam inayoitwa Msasani City Mall na wasafi wakabahatika kutoa burudani kwenye uzinduzi huo,Ilikuwa show ya bure lakini tulishindwa kutangaza sababu ya usalama...!!
Katika kupendezesha ufunguzi huu wakaona uende na sambamba na burudani ya muziki na muziki wa kizazi kipya... Nilikuwepo kwenye stage mimi na wasafi kufanya ule ukali wetu na unyama wangu kwa ujumla kuhakikisha naondoka hapa siachi mashabiki zangu wakilalamika bali watamani tena kuniona karibuni tukiringa ringa kwenye stage...... uku kushoto kwenye muziki nikisimamiwa na My Blood Rommy Jones uku kwa upande wa wasanii wa kizazi kipya alikuwepo Shetta The Don na Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya The one n only himself my Brother Prince Dully Sykes kwenye uzinduzi..... Kama kawaida yangu nilikuja kufanya kilichonileta na kukonga nyoyo za mashabiki zangu si unajua tena atuchagui sehemu popote tunakinukisha kuakikisha kila tunapotua tunaacha historia baada ya show....
Zifuatazo Picha kwenye ufunguzi wa Jumba la Biashara maeno ya msasani: |
Imetulia sana hii hope ilikuwa bonge moja la shoow Big up Brother Platnumz
ReplyDeleteIt was nice...Ila diamond me i like that part of nani amenunaaa...Kiruuuuuuu! Hahahahahahahahahaha
ReplyDeleteMimi nafurahi pale tuendeleeeeeeee ama tusiendeleeeeeee watu wote tuendeleeeeeeeeeee ama tusiendeleeeeeee wengine wanaanza kuishiwe nguvu .wewe mkali toa cd hata tatu zinazoonyesha show yako tu Diamond tutauza sana na itanunuliwa sana ya mlimani city tu alikuwa inagombaniwa .kwa sasa mavazi ya show zako zote ni mazuri na hayana mfano wa kulinganishwa popote pale.unavyovaaaa mimi ninapoingia kwenye show zako kitu cha kwanza huwa naangalia mavazi huwa yananivutia sana big up mwanangu endelea na Mwenyezi Mungu hatakuacha na baraka hiyoo ya mzazi tele .mavazi peke yake ni kuvutio kabla ya show ukiweka na show je mtafutano ukumbini.
ReplyDelete